Wakuu naweza pata fundi simu mzuri Dar es salam ambaye anaweza nifundisha

Uje uanze kuiba vifaa kwenye cm
Alaf useme kimeungua

stidy
 
Ukimpata usipoteze muda. Nenda moja kwa moja kujifunza kutengeneza Itel na Tecno. Hizi za kwetu achana nazo maana wenye simu kali hawapeleki simu kwa fundi
 
Wakuu natafuta fundi Simu mzuri ambaye atanifundisha kutengeneza simu

NB.nitamlipa sio bure kama Tutapatana


Sent using Jamii Forums mobile app

Mtafute fundi Sele (mmakonde) yupo Samora baada ya sapna. Ukifika sapna ulizia fundi Sele atakusaidia sana maana ata ma agents wa iPhone apa Dar wakishindwa wanampelekea yeye


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom