Wakuu nataka kupita JKIA na mizigo mlango ni upi??

Mbona lango la departures linafahamika?
Kwani wewe umebeba zigo gani linalokufanya ubabaike? hata kama ni first time kusafiri nje ya nchi mbona kuna utaratibu unaotolewa kwa abiria wanaosafiri kupitia vipaza sauti vilivyopo hapo airport au kwanini usiwaulize wahudumu wa hapo uwanjani? hayo mabegi yako kweli yana usalama?au yana sembe?
 
Ahsanteni wadau nipo nasubiria ndege na mabegi yangu muda wowote tutaenda kupanda!
 
Back
Top Bottom