Wakuu natafuta ajira, nimeishia Darasa la saba

Wakuu natafuta ajira, nimeishia Darasa la saba

Joined
Nov 22, 2020
Posts
25
Reaction score
6
Habari zenu wana JF yote,

Mimi ni kijana mwenye miaka 22 ninaishi Arusha elimu yangu nimeishia Darasa 7 nimetoka kijijini toka 2014 nilikuwa nafanya kazi kwa wahindi kusambaza bidhaa mbalimbali za maduka kwasababu Wahindi wana maduka mengi hapa mjini toka Corona iingie wafanyakazi itabidi tupunguzwe moja wapo na mimi pia ilikuwa mwezi wa 5 2020 saivi na kama miezi sina kazi yeyote naombeni msaada wenu hapo
ninatafuta kibarua hata cha kufanya kwa saivi.

Kwa mtu yeyote ambaye anataka mtu anitafute kwa namba hizo hapo 0678635439.

Asanteni
 
Back
Top Bottom