Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 335
- Thread starter
-
- #61
Sawa acha nijaribu kukubali, japo sio mara ya kwanzandio mwanamke wako wa kwanza?? Au ndio mara yako ya kwanza kuachana mkuu?
Kuachana ni kigumu ikiwa tu hujataka muachane na hujakubali hali ya kua umeachwa au mmeachana ukikubali hilo tatizo ushalitibu.
Eti sms za maex(akili kumkichwa)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwache hasira zipoe kwanza, then mtafute tena mzungumze. This time kuwa mwanaume, mweleze ukweli kuhusu tabia zake zinazokukera. Akibadilika shukuru, asipobadilika basi ujue ndio madhaifu yake utakayopaswa kuyavumilia.
Hiyo siku mliyokua bar alikua anataka m-do hapo bar kwenye viti au sijaelewa[emoji15][emoji15][emoji15]
Asante sana ndugu yangu. Unaweza kunishauri cha kufanya ili angalau nimsahau tuFanya mambo yako utajiumiza tu na hutobadilisha chochote, achana nae ulipokosea ni kumuonesha kuwa hujiwez kwake na ukiendelea kumnyenyekea atakukomesha.
Sijui kwa nini matatizo madogomadogo kama haya huwa hayanipati mimi? Yaani mi tatokewa na matatizo makubwa tu!!
Mdgo angu ww ni dhaifu kubali hilo mimi kaka ako nimbembeleze mwanamke week sijawai ata siku moja
Uachane nae mara ngapi? Ushaachwa hivo,take timeUnamaanisha niachane nae ? Mkuu kila nikijaribu nashindwa.
.
Pole sana mkuu kwa mastress
Apo anakupima imani yako kam ww uta react aje maana anajishaua wakat bado anakupenda
Huyo dada sijamwelewa alikuwa anataka mdo hapo bar? Mmhh mbona kama anakisiriani kiaina
Umemuambia ukweli mchungu, hapo alikuwa anamtafutia tu sababu!!
Angekuwa anampenda kweli hilo siyo kosa la kumnunia 3 weeks, watu wanafumania and after few days anasamehe na game anatoa kama kawaida!!
Mkaka, kubali hupendwi and next time usiyakurupukie mapenzi hivyo, wenzio tunaenda kwa mwendo wa kunyata!!
Asante kwa ushauri.Haya nenda umwambie ukweli kwa nini uliogopa asisome SMS za wasap. Akikataa msamaha achana nae kwani yeye sio mwanamke pekee .
Kwa mateso hayo hapo bado hauja muoa, sasa siku ukimuoa sindio ndani patakuwa kama jela..!!
Mkuu, minaona huyo dada ni muathirika wa mapenzi, na umeingia kwenye mahusiano na mtu ambae amekuwa akijeruhiwa sana kwenye mahusiano.
Sasa kwakifupi ni kwamba piga chini huyo mwanamke kwasababu bila ya kufanya hivyo ipo siku hautoipata tena nafasi ya kuomba ushauri kama hivi, na utakuwa tayari umechelewa.
Pole mkuu. Ushauri wangu achana nae kwamda huu ila kabla yakuachana nae muandikie sms ndefu jieleze hali halisi, mueleze hisia zako kwake, mueleze nini malengo yako kwake. Ukishafanya hivyo relax muachie mwenyewe aamue nausimtafute tena naikibidi muage mwambie huna jinsi nauamuzi aliochukua. Naamini ukipiga kimya kabisa mwisho wasiku atakutafuta mwenyewe
Yaani kila nikijaribu kukaa bila kumtafuta najikuta namkumbuka, nakumbuka pindi nzuri tukiwa pamoja.Unashindwa vipi yaani hembu elezea, unatuangusha sana mabaharia wenzio aisee
Wewe hauko tayari kwa ushauri unapewa hutaki kupokea umeshikilia nampenda endelea nae akupige matukio ili akili yako ikae Sawa.Sawa nashkuru ila mi ndo yashanikuta tayari naomba ushauri
Kwa kweli ushauri wote ambao watu wananipa nazingatia dada angu, ila tu najaribu kusema hivo ili pia nipewe ushauri zaidi ila nathamini sana jinsi watu wanavonishauriWewe hauko tayari kwa ushauri unapewa hutaki kupokea umeshikilia nampenda endelea nae akupige matukio ili akili yako ikae Sawa.
Inaonekana hivyo kaka atapata tabu sana! Dada anatabia za ajabu ajabu halafu kaka ndiyo kaoza! Yaani mwanaume mwingine hilo tukio la bar angemwacha kabisa huyu dada....Hiyo siku mliyokua bar alikua anataka m-do hapo bar kwenye viti au sijaelewa[emoji15][emoji15][emoji15]
Basi mteke.Mkuu nshajaribu sana kuzungumza nae hii ni wiki ya tatu kila nnapompigia simu akipokea anasema hataki mawasiliano nami.