Wakuu naomba kujua huyu ni mdudu gani

normally

Senior Member
Aug 1, 2018
193
166
Huyu ni mdudu gani enishangaza anapaka mapembe au ndio hariri
IMG_20200209_124605_9.jpeg
IMG_20200209_124603_5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni Pangolin anapatikana bundi anapozaa na popo. Kamripoti wizara ya afya maana wachina wanaamini ndo kawaletea msala wa corona
 
Anaitwa Madonna spider
Atakuwa mvamizi kutoka NZ kaingia kwenye sanduku la mtu huyo



Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom