Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,073
- 1,563
Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu.
Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva.
Mimi ni professional Driver.
Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho
Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute of Transport (NIT) course ya PSV C1 cheti ninacho.
Leseni ya udereva ninayo pamoja na Cheti cha kidato cha nne.
Utakapo sikia Kazi ya kumuondesha boss au Kazi za kwenye miradi basi nipigie simu 📞 0754793556