Wakuu nanunua vitunguu, nahitaji kama gunia 50

Wakuu nanunua vitunguu, nahitaji kama gunia 50

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
369
Reaction score
253
Nipo Dar nafanya biashara ya ununuzi wa vitunguu,mara nyingi huwa naenda Iringa kununua mzigo ila kama unavyo na hata kama upo mahali tofauti na Iringa ntavifuata.
 
nipo dar nafanya biashara ya ununuzi wa vitunguu,mara nyingi huwa naenda iringa kununua mzigo ila kama unavyo na hata kama upo mahali tofauti na iringa ntavifuata.

Tupia mawasiliano ndugu.
Vya kwangu vinakaribia kuvunwa mkoani Iringa. Unaweza kuwa mteja potential.
 
Kuna mahali wanauza 50000 kama upo tayari nakukusanyia ukija kuchukua unanilipa changu unaondoka na mzigo wako.
 
Kuna mahali wanauza 50000 kama upo tayari nakukusanyia ukija kuchukua unanilipa changu unaondoka na mzigo wako.

sifanyi kazi na madalali mkuu kama una mzigo wako tuonane.
 
Back
Top Bottom