Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

IMG_3474.JPG
79004eac-d945-4bbc-9db0-d1e368f15098.jpg
IMG_0214.JPG
IMG_3283.JPG
IMG_6562.JPG

Nimepiga kwa mkono wangu kwa nyakat tofauti tofauti
 
Usithubutu kukutwa na huyo bwana mkubwa hapo, vipi mkuu ulisalimika?
Wenyeji wanadai hana shida sana na watu . wanajua yupo ila huwa anaonekana kwa nadra, nilijaribu kumtisha kama nataka kumgonga na kausafiri kangu nikaona ametulia hatembei, nikajua huyu hataki shari😩😩
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom