Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,578
Maombi yoyote yale.Hio ya sugar na duka ni concepts tofauti na tunachozungumzia maombi ya aina gani hayo ukifanyiwa mpaka ulipe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yoyote yale.Hio ya sugar na duka ni concepts tofauti na tunachozungumzia maombi ya aina gani hayo ukifanyiwa mpaka ulipe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala uchangamkie fursa unakalia kuuliza maswali zama pm mumalize biashara.Ha kumbe hujampata bado halafu utamuoa mwakani?
Kwa nini wewe usiichangamkie hiyo unayoiona ni fursaBadala uchangamkie fursa unakalia kuuliza maswali zama pm mumalize biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app