Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,964
- 4,052
Sawa mkuu ila jitahidi umpate asiye penda sana chipsi asije kuwa kesha pitiwa na Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huh!! Hakuna pesa?"Shukran" ni zawadi tosha na nzuri sana.
Kumbe hii nayo ni aina ya uchoyo!!
Mkuu ubarikiwe sana, na iwe hivyo!Ni ngumu sana kumpata HAWA ambaye ubavu wake unafiti kwako. Maana huyo ndo atakua ameumbwa kwa ajili yako huyo ndo atakusikiliza na kukuheshimu.
Omba Mungu usije lazimisha ukang’oa HAWA wa mtu mwingine akaja kukuletea vituko maishani mwako.
🤔🤔🤔🤔Sawa mkuu ila jitahidi umpate asiye penda sana chipsi asije kuwa kesha pitiwa na Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ninapoenda dukani kuchukua sukari na nikalipia pesa hapo inakuwa mwenye duka ni mchoyo?
hayaNdiyo.
Hio ya sugar na duka ni concepts tofauti na tunachozungumzia maombi ya aina gani hayo ukifanyiwa mpaka ulipe ?Kumbe ninapoenda dukani kuchukua sukari na nikalipia pesa hapo inakuwa mwenye duka ni mchoyo?
Au hujui maombi ni huduma!!!
Tafuta BIKIRA MKUU,,usije ukaoa MKE WA MTUHabari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!
Hureee raha ya kuoa nikula vitamu kufanyiwa massage na kujaliwa hongera mwaya kwakufanya maamuzi sahihii.Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!