Wakuu! Msaada wa mawazo.

Wakuu! Msaada wa mawazo.

Craig, desturi ya kutahiri kina mama imeenea katika karibu asilimia 25 ya mikoa yote ya nchi hii. Ukiondoa mahali kama Mara ambako sherehe hizi hufanyika hadharani (nako inapungua), kwingeneko ni kweli kuwa wasichana wengi wanafanyiwa tohara wakiwa wadogo sana. Kwa hiyo dada huyo hajakudanganya kakwambia ukweli. Lakini kuhusu maelezo yako ya chumbani kwenu ni kuwa kwanza ni kwa sababu sasa umepata mashiko ya kudhania upungufu wote unaouhisi katika ufanyaji mapenzi yenu unatokana na yeye kufanyiwa FGM. Sio kweli. Inachangiwa na wewe pia kuwa "mdadisi na muamuaji" baada ya kugundua kuwa mwenzio kafanyiwa FGM. Kifupi ni kuwa umejiingiza kwenye utafiti ambao hauna tija kwako wala rafiki zako. Ushauri; kama unahisi WEWE unadhalilika sana kuwa na mpenzi mwenye FGM basi dada huyu mwache kwa heshima stahiki na usiwaingize hadhara katika chumba chako. Yamekushinda, basi kaa kimya mkubali kama alivyokukubali na wewe japokuwa una mapungufu usiyoyajua kama sisi wengine.
 
nina wasi wasi ukiendelea kuwa nae,utatafuta mwenye kiharage.hautomtendea haki dada watu.na umesema ana tabia nzuri.huyo ni wife material kabisa na dunia ya leo kumpata kama huyo ni ngumu.amua kama kuwa nae ridhika kwa jinsi alivyo
 
Nimekusoma mtu wangu neggirl
Ila bana tunamshauri tu jamaa yetu ila ile kitu ilokuwa 'mutilated' yataka moyo...
Kama hawajafika mbali ningemshauri ausikilize moyo wake...

Mwalimu gfsonwin nakupenda (napenda mwandiko wako na busara zako).

Cc.. SnowBall.. Haha haaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mtu wangu neggirl
Ila bana tunamshauri tu jamaa yetu ila ile kitu ilokuwa 'mutilated' yataka moyo...
Kama hawajafika mbali ningemshauri ausikilize moyo wake...


sure... la muhimu ni kusikiliza moyo wake, ingawa ukiwaza kiubinadamu aliyosema mwalimu gfsonwin na Ndalilo ni ya msingi sanaaa. .
 
Last edited by a moderator:
dah! am really humbled by your compliments dears.

yaani najiona kama vile napaa vile lol!

nami nawapenda sana sana wapenzi wangu, mu watu muhimu sana kwangu, mu wadogo zangu wapenzi..................... lord i love these pple.

thax much teacher!
 
Humpendi tu dada wa watu,ungempenda kidhati hilo tatizo ni dogo sana mkuu!
Think twice before you roll(sp?) the dice.
 
Mkuu kama walivyosema, the art of love making does not revolve arround that mutilated sport. Mna asilimia zingine 60 za kufurahi so work on that. And litteraly speaking aside from being stared @ like a newspaper you do enjoy to satisfaction.
Yani kitendo kidogo cha kuangaliwa hivyo wakati wa lovemaking ndo umuache?
Basi uwaache tu dada zetu because no one will be good enough for you. Just suck it up, grow up and move on....
 
nina wasi wasi ukiendelea kuwa nae,utatafuta mwenye kiharage.hautomtendea haki dada watu.na umesema ana tabia nzuri.huyo ni wife material kabisa na dunia ya leo kumpata kama huyo ni ngumu.amua kama kuwa nae ridhika kwa jinsi alivyo
kisukari natamani kufahamu zaidi hapo kwenye red
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom