Wakuu msaada wa adobe premier tuts

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
wakuu ningependa kuijua hii software vizuri naskia hata hizi tv commercials nyingi wanaitumia hasa zile zenye uchawi flani ivi wa graphics. naomba msaada wa video tuts kwa anayefaham wakuu
 
Mzeewaloliondo wewe ni mtaalam bwana. Huko unapochomoa games hizi tuts zitakuwepo mkuu. The best tuts ni za Lynda.com . Hapo una Options, kama mshiko unao Order DVD teh teh teh . Kama unapungukiwa mshiko lakini una bandwisth za kumwaga unaweza kupata hizo tuts kule unapopata games. sehemu hizo ni kama hii hapa
 
Back
Top Bottom