WAKUU MSAADA NATAKA KUBADILI JINA HUMU JF

godson Lomayani

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
538
Reaction score
711
Wakuu,kwa mara nyingine nakuja mbele zenu nikitumai nyote mko salama,rejea kichwa cha habari hapo juu.Nimekuwa nikitumia jina langu halisi katika kuwasilisha mada/hoja na pia kuchangia nyuzi mbali mbali zilizoletwa humu.Kimsingi sina nia mbaya kutaka kufanya hivyo,ila ni kuzingatia advice kutoka kwa baadhi ya members.Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GODSON LOMAYANI ..TUMESHAKUJUA WE MMASAI ..ENDELEA
 
Yani umepigwa mkwara kidogo ushaogopa? Fungua tu akaunti nyingine kwa jina bandia. Ila kama unavizia teuzi, ni vema ukaendelea kutumia jina lako halisi.
 
Wakuu,kwa mara nyingine nakuja mbele zenu nikitumai nyote mko salama,rejea kichwa cha habari hapo juu.Nimekuwa nikitumia jina langu halisi katika kuwasilisha mada/hoja na pia kuchangia nyuzi mbali mbali zilizoletwa humu.Kimsingi sina nia mbaya kutaka kufanya hivyo,ila ni kuzingatia advice kutoka kwa baadhi ya members.Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Pm mod yeyote atakusaidia
 
Hahaha unataka uanze kucoment upuuzi sio
Wakuu,kwa mara nyingine nakuja mbele zenu nikitumai nyote mko salama,rejea kichwa cha habari hapo juu.Nimekuwa nikitumia jina langu halisi katika kuwasilisha mada/hoja na pia kuchangia nyuzi mbali mbali zilizoletwa humu.Kimsingi sina nia mbaya kutaka kufanya hivyo,ila ni kuzingatia advice kutoka kwa baadhi ya members.Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora ufungue account mpya coz ukiibadilisha hii jina watu watakujua tu
 
Sema una shing ngapi mkuu tukufanyie mpango?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom