Wakuu msaada nahitaji ku-root simu yangu lakini inagoma

Wakuu msaada nahitaji ku-root simu yangu lakini inagoma

Sema sikuhz kuroot hakuna maana kivile. Labda kma simu yako ipo kwenye android ya zamani. Sikuhz sana sana ni kunlock bootloader na kuflash custom ROMs.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nia kubwa ni kuondoa hii error et "unfortunately system ui has stopped Ok" inboa sana make baada ya hapo ni mpaka ni restart ndo nitumie tena naona noma hatari.
 
Yan mimi nia yangu ilikuwa baadae niweke linage os lakini na huko Google nimekuta wanasema et lazima uwe na password za bootloader sasa naona suala linazidi kua gum tu.
Password za bootloader zinapatikana site ya Sony sio jambo gumu,
 
Lakini nia kubwa ni kuondoa hii error et "unfortunately system ui has stopped Ok" inboa sana make baada ya hapo ni mpaka ni restart ndo nitumie tena naona noma hatari.
Hapo tafuta stock firmware uflash. Baada ya hapo hutoona hyo error tena.

Pia unaweza jaribu kuingia kwenye recovery na kuchagua option ya Clear cache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom