Kuroot simu za Sony hasa za Android 6 kwenda juu kuna risk kubwa sana. Ni lazima uwe na PC na lazima ku unlock bootloader. Simu hzi sikuhz zina secure boot, ukiroot bila kuzima secure boot na ku unlock bootloader simu yako haitawaka.
Sahau kingoroot na king root hzo haiziwezi fanya kazi kwenye hyo simu (hzo app ni za zamani na zinafanya kazi kwenye android version za zamani na zisizokua na security nzuri)
Unatakiwa kutumia Magisk (hii ndio njia inayoshauriwa sikuhz) au Supersu flashsble zip. Unatakiwa kuwa na TWRP kurahisha kazi na kujiokoa kma simu itakapogoma kuwaka.
Pia kaa ukijua kua ukiroot utapoteza DRM keys na device certification kwenye playstore na utapoteza Safetynet pia. Hapa apps kma Netflix, Prime Video, Dstv now, na baadhi ya banking apps hazitafanya kazi kwenye simu yako. DRM keys zako unaweza kuziback up na Safetynet unaweza ipata pia kwa viprocess flani hvi ila bado sio uhakika kma hzo app hapo juu zitafanya kazi.
Ukitaka kuroot kwanza utahitaji twrp ya simu yako:
[RECOVERY][UNOFFICIAL] TWRP 3.2.3-0 for aries [01-09-2018]
Pili fata haya maelezo kuinstall magisk na kuhifadhi DRM keys zako:
[Solved] Magisk?
Hakikisha unasoma maelekezo vizuri na upo na PC na una stock firmware ya simu yako.
Pia kma Chief alivyosema hapo ujue model number ya simu yako na ipo kwenye software yenye build number gani.
Sent using
Jamii Forums mobile app