Wakuu msaada kati ya HGE na clinical officer.

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Wakuu habari?
Mimi ni kijana miaka 20 kilichonileta humu najua kuna wadau mbalimbali wa elimu wanaweza kunishauri kwa kinachonisibu nilimaliza form four mwaka 2015 ila sikuweza kuendelea na form six kutokana na sababu za kifamilia...
Hivyo mwaka huu nataka nirudi shule ila nipo katikati kati ya kwenda advance kusoma HGE au kwenda kuchukua diploma ya health related kwa nini nipo katikati

-HGE nataka nisome hii combi lengo langu niende kusoma degree mapema kuhusu ajira ntajua mbelembele pia naangalia umri pia nataka nichukue master up to phd mapema kabla ya 25years na lengo langu nataka nisome mambo ya uchumi..

-kwa upande wa health related nataka nikapige C.O,lab tech ila faida nayojua nitaipata ni kujiajiri au kuajiriwa mapema ila nafikiria sana kwenda kwa kuwa naona ni njia ndefu sana na kwa upande wangu mimi nataka nikifa nikiwa na degree so naogopa lini nitarudi degree kwa kuwa najua nikimaliza diploma degree ntajisomesha...

Wakuu naombeni msaada wa mawazo kwa haya mambo mawili ninayowaza..
 
Una miaka 20, umehitimu Form 4 tangu 2015, hapo unataka kabla hujafikisha miaka 25 tayari uwe na PhD!

Aisee! ina maana unataka ndani ya miaka mitano mbele uwe umemaliza diploma ya CO au umemaliza F6, uchukue bachelor, masters na PhD juu?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Correct me if I'm wrong!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Nikianza form five&six 2017/ 19...around 19/22 degree..hapo nna kuwa na 24years old siwezi unga masters had phd
 
Umeandika uchukue masters to phd mapema kabla ya 25 years!

BTW, malengo yako ni mazuri kijana kijite kwenye ndoto zako

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Umeandika uchukue masters to phd mapema kabla ya 25 years!

BTW, malengo yako ni mazuri kijana kijite kwenye ndoto zako

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ila nipo dailema mkuu mimi ni kijana mdogo mnaweza nisaidia kwa ushaur wa mawazo
 
Kapiga CO mkuu, bata sana hyo... itakufaa, huko utakako utafika tu
 
Achana na hge ww....tena tupa kule kbs

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari?
Mimi ni kijana miaka 20 kilichonileta humu najua kuna wadau mbalimbali wa elimu wanaweza kunishauri kwa kinachonisibu nilimaliza form four mwaka 2015 ila sikuweza kuendelea na form six kutokana na sababu za kifamilia...
Hivyo mwaka huu nataka nirudi shule ila nipo katikati kati ya kwenda advance kusoma HGE au kwenda kuchukua diploma ya health related kwa nini nipo katikati

-HGE nataka nisome hii combi lengo langu niende kusoma degree mapema kuhusu ajira ntajua mbelembele pia naangalia umri pia nataka nichukue master up to phd mapema kabla ya 25years na lengo langu nataka nisome mambo ya uchumi..

-kwa upande wa health related nataka nikapige C.O,lab tech ila faida nayojua nitaipata ni kujiajiri au kuajiriwa mapema ila nafikiria sana kwenda kwa kuwa naona ni njia ndefu sana na kwa upande wangu mimi nataka nikifa nikiwa na degree so naogopa lini nitarudi degree kwa kuwa najua nikimaliza diploma degree ntajisomesha...

Wakuu naombeni msaada wa mawazo kwa haya mambo mawili ninayowaza..
Wewe ni Bashite kweli, una miaka 2o unataka kwenda f5-6 miaka 2 + 3 chuo + 2 masters + 3-5 phd bado tu hujafikisha miaka 25? Bashite kweli kweli.
 
Back
Top Bottom