Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,646
Hiyo picha ya kwanza na hii ya pili vina uhusiano wowote ?
Tukianzia na tofauti ya mazingira ,Camera iliyopiga picha ya juu sio iliyopiga ya chini
Wote ni karunguyeye lakini wana tofauti kubwa sana haiwezekani wakawa wanakaa sehemu moja hapa namaanisha genes zao zinatofautina japo kwa kuangalia tu kwa macho
Kuna possibility karunguyeye mmoja ni wa Tanzania mwingine ni Malawi
Samahani kutoka nje ya mada