Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
695
Wakuu leo katika harakat zangu za kufanya usafi nyuma ya nyumba kwa bahati mbaya nimejikuta nimeharibu makazi ya mnyama karunguyeye...mbaya zaid yupo na watoto wawili sasa nimeamua nimchukue nimhifadhi huku nikitafakiri cha kufanya ( maana hapa hakuna vichaka kabsa alikuwa kajibanza kwenye kishimo kidogo tu) sasa naogopa watoto wake wasijeliwa na paka au haya makunguru ya dar...sasa nashindwa kuelewa huyu atakula nn, au nimpe msaada gani...kwasasa nimempa maji kanywa na dagaa wakavu pia naona mende anakula...na watoto wake anawanyonyesha vizuri tu.

Naomba msaada kwa wale wapendao viumbe wadogo, nn nifanye???
7d43fbc1aedceceb0e4f1330104f4434.jpg
 

Attachments

  • 1477738260470.jpg
    1477738260470.jpg
    82.8 KB · Views: 537
  • 1477738270656.jpg
    1477738270656.jpg
    7.7 KB · Views: 365
Jaribu kuwasiliana maafisa wa wanyama au Zoo yoyote iliyokaribu kwa kuwadadisi jinsi gani hao wanyama wanaishi afu utamlea kwa kipindi flani kisha utamuachia aendelee na maisha yake, usije ukampeleka kwenye Zoo hio ni sawa na kumpeleka jela huwa sipendi kabisa watu wanaowaamisha wanyama kwenye mazingira yao halisi.
 
Mpole sana huyo mnyama, niliwahi kummulika na Taa ya pikipiki usiku nikamkamata kumhifadhi home, aligoma kula kila nilichompa nikamrudisha porini.
Dah huyu anakula...nimejaribu kusoma net hapa..hula saana wadudu..na nimempa kazaa kala..sema inaonekana kula kwao hasa ni usiku
 
Mle tu huyo hana tatizo,nimetafuna sana hapa kwangu,
Aaaah me sipo hivyo, hawa ni viumbe bana...sasa ukimla watoto wake watalelewa na nan? Kwnza kula wanyama kama hawa sio ubinadamu.....kuwa na iman mkuu utakuja kuliwa na mamba ohooo....
 
Jaribu kuwasiliana maafisa wa wanyama au Zoo yoyote iliyokaribu kwa kuwadadisi jinsi gani hao wanyama wanaishi afu utamlea kwa kipindi flani kisha utamuachia aendelee na maisha yake, usije ukampeleka kwenye Zoo hio ni sawa na kumpeleka jela huwa sipendi kabisa watu wanaowaamisha wanyama kwenye mazingira yao halisi.
Kweli kabsa kaka...umeongea la maana!!! Me pia sipendi...na niliumia saana kumkuta na watoto af nimetibua sem naona hana shida...maana had sasa nimegundua baadhi ya vyakula na nikimpa anakula
 
Dah, Mungu akupe moyo huo hata kwa binadamu nimependa sana huruma yako "mimi naweza fuga wote ila nyoka siwezi kubali akae karibu na mimi"
 
hii picha umegoogle piga ingine niamini weka hata chupa pembeni
1477740463305.jpg
1477740481175.jpg
1477740492978.jpg
1477740515138.jpg

Haya Miss Natafuta na mwenzako Da Gesh picha hiyo hapo nipeni hela sasa...na chupa nimeweka sema wameingia kwa ndan ya box hawatak kutoka inaonekana hawapendi mwanga...ndio maana pic hazijatoka fresh
 
ahaaaa safi mkuu unauza simu sh ngapi kama hyo?
bei pouwa tu kwa wakuu wenzangu wa humu JF, kwn si unaonaga nyuzi zangu za biashara za simu humu?, ukihitaji smartphone ya ukweli na latest yaan fanya kunichek tu 0654776976.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom