Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 108
Habarini za usiku,
Siku za hvi karibuni nimekua nikijiuliza sana hili swali, hasa nnapoona watu wanaendesha maisha yao comfortable wakidrive magari, kumiliki majumba na mambo mengine kama hayo.
Mimi n graduate wa 2019 nipo Morogoro lakin tangu nimehitimu kweli kabisa sijaenjoy haya maisha. Upande wa ajira nimekua nikipata ajira ya mkataba ambao kwa mwaka nafanya kazi kwa miezi sita mpaka saba tu na mshahara ni wa kawaida kukidhi kula sanasana.
Nina familia ya mtoto mmoja na mamaake ambae kwa pamoja tunapambana na biashara ndogondogo hapa mtaani.
Sasa najiuliza mimi nafeli wapi? Tafadharini sana kama kuna mtu anaweza kunishauri, kuniongoza na kunipa mwanga ili na mimi nifike hatua fulani ya maisha ntashukuru sana kwa maaada huo, naona kabisa juhudi zangu binafsi zinagonga mwamba mara zote.