Wakuu mnanishaurije kijana wenu?

Wakuu mnanishaurije kijana wenu?

Dgo acha kutusumbua kulialia hapa
Kwenye mtaji wako huo tenga laki moja ,then nenda chini kule moshono maeneo Yale hadi nduruma kule kodisha shamba hekari moja Lima mahindi , once ukisubiria wanafunzi wafungue shule uendelee na mishe zako
,Nakumbuka miaka ya 2011 nikiwa hapo town nilikuwa nafundisha madgo tution hapo mollel house ,kamshahara kalikuwa kadgo Sana na nilikuwa nalima mahindi na maharage meru kule akeri,
Komaaa dgo maisha cyo rahisi Ila utatoboa pambana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo pesa yako fanya biashara ya samaki wabichi,inabidi uende Tanga maeneo ya Deep Sea,Kigombe,Pangani au Kipumbwi.

Unajumua samaki au dagaa wabichi kwa jumla unapeleka Arusha, tena unaweza ukawa unaanza kuuza njiani kuanzia Muheza,Hale,Segera,Korogwe,Mombo Kama kuna uhitaji mzigo unaishia njiani. Hii njia watu walikuwa wanatumia pikipiki (Toyo), mtaji ni ela ya samaki na mafuta hawa faida huwa ni Mara 2.
Wewe kama huwezi kuendesha utamtafuta dereva wa kubeba mzigo wako. Hao wanatembeza pikipiki Kipumbwi kwenda Muheza mpaka Arusha.

Au kama una friji, safari za mwanzo nenda mwenyewe ili uangalie ununuzi wa samaki pale Deep Sea kwa jumla au Mnada. Ukipata mtu mwaminifu atakuwa anakununulia mzigo kisha anautia barafu unasafirishwa kuja Arusha,wewe utachagua kuuza jumla au rejareja.
 
fungua local mgahawa anza kukusanya faida ambayo utaanza kutengeneza bites
au
juice point ukiweka na bites cake na andazi.
nunua brenda heavy 150,000
fridge 150,000
frame lipia 50 omba kwa miezi 3
50,000 nunua mahitaji madogo madogo
pia kama una ka laptop au simu mbili uza moja ongeza mtaji fanya vitu vya maana kisha utanunua kutoka kwenye faida.

juice fresh ya matunda uza 1000, cake 500, andazi 300.

utapiga hela.
 
Dah napambana bro ..ilo suala la mashamba naona kushajengwa kule yani na yaliyobaki bei iko juu kidgo.

Afu mahindi naona bei itakuja poromoka soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fungua local mgahawa anza kukusanya faida ambayo utaanza kutengeneza bites
au
juice point ukiweka na bites cake na andazi.
nunua brenda heavy 150,000
fridge 150,000
frame lipia 50 omba kwa miezi 3
50,000 nunua mahitaji madogo madogo
pia kama una ka laptop au simu mbili uza moja ongeza mtaji fanya vitu vya maana kisha utanunua kutoka kwenye faida.

juice fresh ya matunda uza 1000, cake 500, andazi 300.

utapiga hela.
Shukrani kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo pesa yako fanya biashara ya samaki wabichi,inabidi uende Tanga maeneo ya Deep Sea,Kigombe,Pangani au Kipumbwi.

Unajumua samaki au dagaa wabichi kwa jumla unapeleka Arusha, tena unaweza ukawa unaanza kuuza njiani kuanzia Muheza,Hale,Segera,Korogwe,Mombo Kama kuna uhitaji mzigo unaishia njiani. Hii njia watu walikuwa wanatumia pikipiki (Toyo), mtaji ni ela ya samaki na mafuta hawa faida huwa ni Mara 2.
Wewe kama huwezi kuendesha utamtafuta dereva wa kubeba mzigo wako. Hao wanatembeza pikipiki Kipumbwi kwenda Muheza mpaka Arusha.

Au kama una friji, safari za mwanzo nenda mwenyewe ili uangalie ununuzi wa samaki pale Deep Sea kwa jumla au Mnada. Ukipata mtu mwaminifu atakuwa anakununulia mzigo kisha anautia barafu unasafirishwa kuja Arusha,wewe utachagua kuuza jumla au rejareja.
Wazo zuri bro nashukuru mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana mdogo Ollachuga pole sana, kila mtu ameguswa na Corona

Nimeona kama majibu unayo tayari ila unakosa tu ujasiri wa kuanza biashara, Anza sasa

Pitia kwenye maduka kadhaa uwaombe kuweka hizo bites, halafu shule zikifunguliwa endelea na plan yako, utakapoanza kupeleka shuleni usisahau na ice cream

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja mkuu ila top four sahau pale..

This is Chelsea[emoji170][emoji170]

Hili suala La Corona limekuja zingua Dakika za mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo pesa yako fanya biashara ya samaki wabichi,inabidi uende Tanga maeneo ya Deep Sea,Kigombe,Pangani au Kipumbwi.

Unajumua samaki au dagaa wabichi kwa jumla unapeleka Arusha, tena unaweza ukawa unaanza kuuza njiani kuanzia Muheza,Hale,Segera,Korogwe,Mombo Kama kuna uhitaji mzigo unaishia njiani. Hii njia watu walikuwa wanatumia pikipiki (Toyo), mtaji ni ela ya samaki na mafuta hawa faida huwa ni Mara 2.
Wewe kama huwezi kuendesha utamtafuta dereva wa kubeba mzigo wako. Hao wanatembeza pikipiki Kipumbwi kwenda Muheza mpaka Arusha.

Au kama una friji, safari za mwanzo nenda mwenyewe ili uangalie ununuzi wa samaki pale Deep Sea kwa jumla au Mnada. Ukipata mtu mwaminifu atakuwa anakununulia mzigo kisha anautia barafu unasafirishwa kuja Arusha,wewe utachagua kuuza jumla au rejareja.
Hii kibiashara niwewaza ila bado sijaanza ndo nataka nipigie mahesabu nione kama nitaweza kwenda kwenye hayo maeneo.
 
Back
Top Bottom