Ungemchapa hata na mstari mmoja wa Biblia akaishi nao huyo kijanaSasa... mkuu¡ unataka nikushauri kitu ambacho kinakuja tu kichwani? bila kukipima na kuona kama kina impact zaidi.....?
Wewe tena!. Yan mkuu kijana yoyote wa jamii forum kokote alipo kama hana kaz ya kueleweka lolote limkute
Bidhaa ni zako au za kampun?Nilipo pagumu sana mkuu imagine nimetembea miles hadi saizi sijapata hata mteja niendelee tu kuwa hapa!
Hata wewe ungekuwa kwa nafasi zao za kusaidika ungekuwa hivyo hivyo tu kama ulivyowaita shitsVijana hamfadhiliki kabisa yani... last time ilitokea kazi hapo dar supervisor kwemye kampuni ya mitandao ya simu kama airtel, yas au halotel. Nikapigiwa sim niko Unguja nije dar kuifanya au recomendations.
Nikapiga kimya! Kuna kima kibao hum nimesaidia mwisho wa siku wanakuja kuwa vipande vya kimba! (Shits). Yan mkuu kijana yoyote wa jamii forum kokote alipo kama hana kaz ya kueleweka lolote limkute
Likitokea deal lingine nipasie mkuu hutajutiaVijana hamfadhiliki kabisa yani... last time ilitokea kazi hapo dar supervisor kwemye kampuni ya mitandao ya simu kama airtel, yas au halotel. Nikapigiwa sim niko Unguja nije dar kuifanya au recomendations.
Nikapiga kimya! Kuna kima kibao hum nimesaidia mwisho wa siku wanakuja kuwa vipande vya kimba! (Shits). Yan mkuu kijana yoyote wa jamii forum kokote alipo kama hana kaz ya kueleweka lolote limkute
BWANA ndiye mchungaji, wangu sitapungukiwa na KITU...Ungemchapa hata na mstari mmoja wa Biblia akaishi nao huyo kijana
Sahau hilo, yaani mtu akupe mbinu ya kuwa tajiri! Piga ua utapata yale yale ya jitume na fanya kazi kwa bidii. Mbinu yake ya kweli hawezi kukuambia, trust me.Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu
Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa
Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.
Usilete mzaha watu tupo serious karibu
Mambo mengine ni siri, nitakupa darasa lipi? Muombe tu Mungu wa Israel.Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu
Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa
Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.
Usilete mzaha watu tupo serious karibu
Sio lazima unipe mbinu zote mkuu walau nipate kutoka katika kuchakaza ndala na nile milo mitatu hayo mengine nitajiongezaSahau hilo, yaani mtu akupe mbinu ya kuwa tajiri! Piga ua utapata yale yale ya jitume na fanya kazi kwa bidii. Mbinu yake ya kweli hawezi kukuambia, trust me.
Ili upate ushauri sahihi ni lazima kwanza ungeelezea unafanya uchuuzi gani na kwa staili gani?hobby yako ni nini au uzoefu wako ni kitu gani katika mazingira yako yaliyokuzunguka halafu wadau ndio waanzie hapo kukushauri,huwezi kutoboa kwa kurukia kila aina ya ushauri utakaopewa utapoteza focus na consistency.Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu
Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa
Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.
Usilete mzaha watu tupo serious karibu
walizingua nini mkuu?Vijana hamfadhiliki kabisa yani... last time ilitokea kazi hapo dar supervisor kwemye kampuni ya mitandao ya simu kama airtel, yas au halotel. Nikapigiwa sim niko Unguja nije dar kuifanya au recomendations.
Nikapiga kimya! Kuna kima kibao hum nimesaidia mwisho wa siku wanakuja kuwa vipande vya kimba! (Shits). Yan mkuu kijana yoyote wa jamii forum kokote alipo kama hana kaz ya kueleweka lolote limkute