both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
Kununa 2+, mapenzi Und 0, jina lenyewe GG kwel we mtu wa mikeka.Habari wakuu..mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
ndo naendelea nae hapa..mkuu ndoa yng ina vipengele mno..Mungu ndiye ajuae..mpk nashare nanyi ujue imenishinda.Uvivu gan ss umemtolea apo? Mkuu ww iombe tu uichape uck huu ..kesho nayo cku[emoji3]
Mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kununa tu.. nisipoanza mimi kuongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hapana kwa kweliNdoa Yenu Inapumulia Ventilator
Mkuu hebu tupe uzoefu........ndo naendelea nae hapa..mkuu ndoa yng ina vipengele mno..Mungu ndiye ajuae..mpk nashare nanyi ujue imenishinda.
Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.Kaka umeoa mmachame hahahaa joking
Kama hujawah mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.
Kama ulishawahi ungea nae bado habadiliki ,then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo ,mtolee vitu nje,au mrudishe kwao
Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
Kama Ana miaka kuanzia 19-24 Mvumilie ni Tabia za kitoto tu znamsumbua ila kama amevuka zaid ya Hapo, basi huyo ana Mpenzi wake mwingne anayempenda zaidi yako.mkuu inafikia hatua tuko chumbani yeye kunua tu..nisipoanza mimi kuaongea yeye atakaa zake kimya tu..aisee arrgh hpn kwa kweli
ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..Mkuu hebu tupe uzoefu........
Ukimwomba mbususu anakataa? akikataa anasema anakataa kwa sababu gani?
Ana 28 mimi 31Kama Ana miaka kuanzia 19-24 Mvumilie ni Tabia za kitoto tu znamsumbua ila kama amevuka zaid ya Hapo, basi huyo ana Mpenzi wake mwingne anayempenda zaidi yako.
Mpe hela mpeleke outHabari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpk nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0..na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5..na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yyte ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Ukweli mchungu ila yupo mtu wifi anaenjoy akiwa nae huko nje ya ndoa yaoKunae wenzio wanakusaidia faza
Mkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..Kwanini mnajibizana kwenye simu? Wanandoa mnashindwa kukaa chini mkaongea? Mnaogopana?
Huo ni upwiru,
Tafuta siku ushinde nyumbani we na mkeo tu mpike mle kisha zagamuaneni kisawasawa baada ya ulete mrejesho