Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Hongera mkuu Safety last kwa kupata mtoto wa kiume
mwenyezi Mungu akupe busara na hekima katika malezi ya mwanao na amkuze katika afya tele na furaha
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri wale wote wajawazito,Mungu awalinde mjifungue salama.
.....hongera kaka,
Pampers,
SMA/S-26 milk powder,
Baby wipes,
....bajeti imeongezeka.
Hongera sana mkuu, umekua 'Faza' sasa!
hongera na kila la kheri mkuu.God bless you all!
Hongera sanaaa!
thank you kamanda
Hongera.......
M/Mungu amkuze salama