Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 488
- 608
Unavuna ulicho stahiliMpe hongera
Division 4 pt 33 nayo ni mapatoUnavuna ulicho stahili
Ndio kusema hana akili za class ila za biashara zimoMpeni pesa akaanze biashara.
Umemaanisha arudie kidato cha nne au atafute nafasi ya kidato cha tatu afanye mtihani mwakani ? Sidhani kama inawezekana kwa mtu aliyefeli kidato cha nne kurudia kidato cha tatu, labda arudie mtihani wa kidato cha nne kama Mtahiniwa wa kujitegemea (private candidates).Akaresit f3 kama anataka kusoma na awe serious, kwa sasa asahau kusoma elimu ya chuo unless kama ataenda VETA atumie cheti ya std7
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app