Konksenior
Member
- Jan 21, 2019
- 36
- 21
.Habarini wakuu, nimepitia mahusiano mengi na wanawake , hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafta hawakutafti ila akiwa na shida tu ,ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafti kabisa hivi hawa viumbe huwa wanataka nini huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani
Muwe mnajiongeza, hapo hupendwi. Mnalazimisha mwisho wa siku mnalialiaKuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo
Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta
Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....
Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...
Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....
Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...Muwe mnajiongeza, hapo hupendwi. Mnalazimisha mwisho wa siku mnalialia
Yeye sio chanzo, chanzo ni wewe kulazimisha mapenzi sehemu usiyohitajika. Sawa utamgegeda na kusepa haina shida..shida ni pale utakapohitaji wa kukupenda hutampata. Utagegeda weeee lkn mwisho wa siku utahitaji soul mate. Ukiwa mkubwa utaelewa sasa hivi endelea tu kuzururaNajua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...
Natamla/na nikishamla itakuwa ndo bhasi tena..
Na hapo ndo wanakujaga kusema umekipata ulichokuwa unakiitaji/kutafuta umeanza kuniona wa kazi gani...
Kasahau yeye ndo chanzo cha kujitengenezea mazingira ya mimi kula na kusepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli halisi. Hutafutwi nibkwamba huna umuhim. Thats it. JiongezeUkiona hutafutwi ujue kuna wanaotafutwa muda huo
ila akiwa na shida atatafutwa wa kumtatulia shida zake
akiwa nyegezi atamtafuta wa kumtoa
akiwa hana hela anakutafuta wewe
Mpotezee man. Huyo hana mapenz na ww kabisaa.Kuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo
Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta
Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....
Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...
Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....
Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenWanaume tufahamu thamani yetu jaman, mwanamke akivunga kuuchuna naww uchune mpaka ashike adabu.
Wanaume tunapaswa kuishi kwa kujiamini[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutokuja kuwaelewa maana hawaeleweki hata ukitaka kuwaelewa hutoelewa kwa nn huwaelewi ndo maana hawaelewekiHabarini wakuu,
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.
Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Nadhani amekuelewa kama ana akili timamuYeye sio chanzo, chanzo ni wewe kulazimisha mapenzi sehemu usiyohitajika. Sawa utamgegeda na kusepa haina shida..shida ni pale utakapohitaji wa kukupenda hutampata. Utagegeda weeee lkn mwisho wa siku utahitaji soul mate. Ukiwa mkubwa utaelewa sasa hivi endelea tu kuzurura
Hahahhaah.Najua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...
Natamla/na nikishamla itakuwa ndo bhasi tena..
Na hapo ndo wanakujaga kusema umekipata ulichokuwa unakiitaji/kutafuta umeanza kuniona wa kazi gani...
Kasahau yeye ndo chanzo cha kujitengenezea mazingira ya mimi kula na kusepa.
Sent using Jamii Forums mobile app