Sawa mkuu nashukuru sana!Tafuta dawa inaitwa INFACOL SYRUP itamsaidia ingawa bei yake imechangamkaView attachment 2867091
Tafuta dawa inaitwa INFACOL SYRUP itamsaidia ingawa bei yake imechangamkaView attachment 2867091
Mkuu hata ikizidi hiyo mtoto si wa kwako mtibu mazee hatuna namna ila ni vizuri ukampeleka kwa Dr wa watoto akamuangalia akaandika dawa ya kumpa mtoto kutokana na alivyomwona mnaweza mkawa mmekaa hapo mnasema sijui chango hii kumbe mnatibu tofauti na anachotakiwa kutibiwa kwa watoto kufanya hivi ni mbaya sana.Mkuu bei yake inazidi Tsh 50,000/=?
Hakika mkuu lazima mtoto atibiwe!Mkuu hata ikizidi hiyo mtoto si wa kwako mtibu mazee hatuna namna...ila ni vizuri ukampeleka kwa Dr wa watoto akamuangalia akaandika dawa ya kumpa mtoto kutokana na alivyomwona mnaweza mkawa mmekaa hapo mnasema sijui chango hii kumbe mnatibu tofauti na anachotakiwa kutibiwa kwa watoto kufanya hivi ni mbaya sana...
Sijajua kama TMDA washairuhusu kutumika nchini hii,,, 2018 kurudi nyuma ilikua inauzwa bila kibariTafuta dawa inaitwa INFACOL SYRUP itamsaidia ingawa bei yake imechangamkaView attachment 2867091
Mama ake anavyomnyonyesha ahakikishe asiache nafasi hewa Ikawa inaingia tumboni kwa mtoto pia akimaliza kumnyonyesha ajaribu kumuegemeza began ili abeue kutoa gesi iliyotokana wakati ananyonya wamama huwa wanafundishwa wakiwa Clinic za wajawazito (ANC) mkumbushe maelekezo aliyokua anapewa atakumbuka afanye alivyokua anaelekezwa itamsaidia mtoto.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu!.Hospitali tushanunua dawa za kutosha lakini ni kama hazisaidii,nikashauriwa na watu kadhaa ya kwamba hiyo chango haitibiki hospitali,Je dawa yake ni ipi hasa?
Hivi hii kitu huwa ni kwa watoto wa Kiafrica tu au hata huko kwa watasha nako hali huwa ni kama hii?
Je,wenzetu watoto wao huwa wanawatibuje kama pia huwa wanapatwa na hali kama hii?
Majibu na miongozo yenu ni muhimu sana wakuu ili nimnusuru mwanangu!
Mama ake anavyomnyonyesha ahakikishe asiache nafasi hewa Ikawa inaingia tumboni kwa mtoto pia akimaliza kumnyonyesha ajaribu kumuegemeza began ili abeue kutoa gesi iliyotokana wakati ananyonya wamama huwa wanafundishwa wakiwa Clinic za wajawazito (ANC) mkumbushe maelekezo aliyokua anapewa atakumbuka afanye alivyokua anaelekezwa itamsaidia mtoto.
Magonjwa ya kiswahili hayo... ukiona ugonjwa haupo kwenye medical dictionary jua haupo duniani. Mpeleke mtoto kwa specialist wa watoto au kwenu kwa ajili ya mila😂😂😂Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa za kutosha lakini ni kama hazisaidii, nikashauriwa na watu kadhaa ya kwamba hiyo chango haitibiki hospitali,Je dawa yake ni ipi hasa?
Hivi hii kitu huwa ni kwa watoto wa Kiafrika tu au hata huko kwa watasha nako hali huwa ni kama hii?
Je, wenzetu watoto wao huwa wanawatibuje kama pia huwa wanapatwa na hali kama hii?
Majibu na miongozo yenu ni muhimu sana wakuu ili nimnusuru mwanangu!
UMUGHAKA zingatia maelezo ya huyu mwamba, kaeleza kama maskhara lkn ndio ukweli, mwamba aliyezaliwa ajikaze uanaume ni Vita, hapo mizigo inafanya yake atazoea tu.Hiyo ni kawaida Kwa watoto wa kiume. Itaacha tu yenyewe. Sababu ni pumbu zinakuwa zimeingia ndani