Mkuu Mshana Jr οΌtumekuelewaJe asili inachukua mkondo wake? Does nature taking its cause!?πͺπΏβπΏ
Tulipofika ni A point of no return.. Na hakuna nguvu inayotumika bali mambo yanaenda yenyewe.. Very natural.. Very automatically..!
Ni wakati wa mabadiliko na hakuna nguvu ya kibinadamu kuizuia. ndivyo hivyo navyo CHADEMA inavyoenda kuchukua nchi
Sijui mnanielewa?
Good morning TANGANYIKA,π
Pale asili inapochoka kuubeba uchafu huutapikaπTeknologiaaa π€£π€£
Afghanistan
"Baada ya chadema kupigwa roba ya mbao, nchi imetulia". Credit: mropokaji wa mbogambogaSiasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu
Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu
Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu
Mitandao ya kijamii bongo habari zake za kisiasa zote zimeelemea chama kimoja tuu
Hii sio sawa kabisa.. Hakuna mizania ya haki hapa.. No kama vile vyama vingine ni mahututi ama ni mfu kabisa
Je asili inachukua mkondo wake? Does nature taking its cause!?πͺπΏβπΏ
Tulipofika ni A point of no return.. Na hakuna nguvu inayotumika bali mambo yanaenda yenyewe.. Very natural.. Very automatically..!
Ni afadhali kidogo huko kwende kandanda.. Japo Mnyama nyota yake inang'ara zaidi lakini walau mtani jembe anasikika kidogo.. Mtani ni majeruhi lakini si mahututi..
Maneno ya Mungu yanasema hivi
Mathayo 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu
Kuna chama tayari kimeshakuwa chumvi iliyoharibika.. Isiyofaa tena.. Imeshatupwa na inakanyagwa na watu..
Nani anaweza kunionesha walau mada moja mitandaoni iliyotawala walau kwa masaa machache ama iliyoenda viral? Achana na zile mada mbovu zilizokosa ladha na uhalisia za mbubujikwa machozi, tlaa tlaah, yule Yohana mbatizaji kinyonga na wengine
Ni wakati wa mabadiliko na hakuna nguvu ya kibinadamu kuizuia. Kama Mnyama anavyoenda fainali na kuchukua kikombe ndivyo hivyo navyo CHADEMA inavyoenda kuchukua nchi
Simba ilitinga fainali mwaka 1993 wakati mageuzi yanaasisiwa.. Simba inaenda kuchukua ubingwa mwaka huu wakati mageuzi yakiwa kwenye kilele cha ubora na kukubalika
Kuna coincidence ya ajabu hapa na iko kiroho zaidi! Upande wa RED unang'ara na kukubalika kila kona! Lakini upande ule mwingine kumefubaa kumefifia hakuna nuru .. Na kuna kila dalili ya matanga!
Sijui mnanielewa?
Good morning TANGANYIKA,πView attachment 3332196
Huyu wa pili Ndani ya Saa 36 kujitoa mhanga, je underground wako wangapi???Mkuu Mshana Jr οΌtumekuelewa
ila γγγ
Sasa wewe unasimama wapi mkuu 'Mbaga Jr'Hii mada haina tofauti na mada za wajinga akina Tlaah na Lucas, huwezi kuponda chama unachoshabikia, n lazima utakisifia tuu hata kama wanafanya ujinga na unajua hilo bado utasifia tuu mana mnakuwa vipofu wa vyama vyenu.
Mkuu mzigo ushakuwa mzito kwao na katika kitu kinawapasua kichwa ni namna walivyojiingiza kwenye huu mtego wa kuipigia promo Chadema kwa gharama zao(kulaumia kupo tena mno ,kati ya waasisi wa chama na majuniors) wapo wanaoitwa wakaidi na wapo wanaoomba msamaha kwa upotofu anyway .....Huyu wa pili Ndani ya Saa 36 kujitoa mhanga, je underground wako wangapi???View attachment 3332242
Wananchi hawaitaki CCM, tumekichoka na CCM wanajuwa hili na ndiyo maana wanavunja amani iliyopo hapa nchini kwa kuwageuzia kibao ChademaSiasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu
Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu
Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu
Mitandao ya kijamii bongo habari zake za kisiasa zote zimeelemea chama kimoja tuu
Hii sio sawa kabisa.. Hakuna mizania ya haki hapa.. No kama vile vyama vingine ni mahututi ama ni mfu kabisa
Je asili inachukua mkondo wake? Does nature taking its cause!?πͺπΏβπΏ
Tulipofika ni A point of no return.. Na hakuna nguvu inayotumika bali mambo yanaenda yenyewe.. Very natural.. Very automatically..!
Ni afadhali kidogo huko kwende kandanda.. Japo Mnyama nyota yake inang'ara zaidi lakini walau mtani jembe anasikika kidogo.. Mtani ni majeruhi lakini si mahututi..
Maneno ya Mungu yanasema hivi
Mathayo 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu
Kuna chama tayari kimeshakuwa chumvi iliyoharibika.. Isiyofaa tena.. Imeshatupwa na inakanyagwa na watu..
Nani anaweza kunionesha walau mada moja mitandaoni iliyotawala walau kwa masaa machache ama iliyoenda viral? Achana na zile mada mbovu zilizokosa ladha na uhalisia za mbubujikwa machozi, tlaa tlaah, yule Yohana mbatizaji kinyonga na wengine
Ni wakati wa mabadiliko na hakuna nguvu ya kibinadamu kuizuia. Kama Mnyama anavyoenda fainali na kuchukua kikombe ndivyo hivyo navyo CHADEMA inavyoenda kuchukua nchi
Simba ilitinga fainali mwaka 1993 wakati mageuzi yanaasisiwa.. Simba inaenda kuchukua ubingwa mwaka huu wakati mageuzi yakiwa kwenye kilele cha ubora na kukubalika
Kuna coincidence ya ajabu hapa na iko kiroho zaidi! Upande wa RED unang'ara na kukubalika kila kona! Lakini upande ule mwingine kumefubaa kumefifia hakuna nuru .. Na kuna kila dalili ya matanga!
Sijui mnanielewa?
Good morning TANGANYIKA,πView attachment 3332196
Kuna Jambo LITATOKEA very soon, naona kama vile Ngoma imevuma Sana sanaMkuu mzigo ushakuwa mzito kwao na katika kitu kinawapasua kichwa ni namna walivyojiingiza kwenye huu mtego wa kuipigia promo Chadema kwa gharama zao(kulaumia kupo tena mno ,kati ya waasisi wa chama na majuniors) wapo wanaoitwa wakaidi na wapo wanaoomba msamaha kwa upotofu anyway .....
Kimsingi niseme wameshakubaliana kwa pamoja wautue ,shida ni namna tu ya kuutua.
Hiki kinachofanyika hapa nikumtengenezea Mama mazingira tu juu ya namna ya kuutua ila wakati wowote utalisikia tamko ikiwezekana kuanzia leo ,wakati wowote ishara zitaanza kusikika kuhusu hatima ,kaeni kwa kutulia tu
Kumbe yalikua haya πππMalizia tu mkuu wangu
View attachment 3332234