Wakuu huu mti unaitwaje

Wakuu huu mti unaitwaje

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,388
Reaction score
28,526
Screenshot_20250729-142059.png
 
Kama unajua kitu jibu tu, kwa manufaa ya umma! Kumpeleka mtu kwenye apps kunaondoa manufaa ambayo jamii ingepata, afterall huko atakutana na botanical names ambazo hazitamsaidia. Pengine ni kiasili kuna jina zuri na matumizi yenye manufaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom