Wakuu hii ni sawa!!!

Wakuu hii ni sawa!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Kuna rafiki yangu ameachana na mzazi mwenza kwa zaidi ya mwaka na walikuwa kwenye mahusiano zaidi ya miaka mitano.

Kinachomuumiza rafiki yangu ni kwamba huyo mzazi mwenza hana neno lolote zuri analolisema kwa mwenza maneno yaani nikumsema vibaya tu kwenda mbele..

Sasa rafiki yangu anauliza kwani anamsema vibaya wakati hawako pamoja wakati kipindi upamoja hakumsema vibaya?
NB.Rafiki tangu ni me.
 
Mwambie ayapuuzie, akiyafuatilia atazidi kusemwa!
 
Ila waweza kuta na huyo rafikiyo anayafanya hayo yasemwayo ila ni wewe tu ndo hujui????
Na je, huyo rafikiyo amepata mtu mwingine??
 
Huyo bado anamuhitaji ndo maana anafanya hivo! Anatafuta makosa kila saa ili kujiridhisha uamuzi wa kuachana ulikuwa sahihi! Hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa pamoja iwapo jamaa yako ataonyesha upendo tena
 
Ni kawaida kama huyo rafiki yako kafuria.
 
Huyo bado anamuhitaji ndo maana anafanya hivo! Anatafuta makosa kila saa ili kujiridhisha uamuzi wa kuachana ulikuwa sahihi! Hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa pamoja iwapo jamaa yako ataonyesha upendo tena

Umenena..!Anachokifanya huyo ni ku-fill the gap ndiyo maana maneno yanamtoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom