King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,796 Reaction score 94,865 Mar 28, 2026 #21 Nevergive up said: Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full Click to expand... Ungebeba Shangazi Kaja moja ukatoboa kimaisha wewe acha UJINGA.
Nevergive up said: Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full Click to expand... Ungebeba Shangazi Kaja moja ukatoboa kimaisha wewe acha UJINGA.
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,369 Reaction score 5,872 Mar 28, 2026 #22 We tayari Nasemaje, nasemaje, we kwisha habari yako
M Mwamba 777 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2020 Posts 2,785 Reaction score 4,498 Mar 28, 2026 #23 Mtaachana said: Begi ukelewe Click to expand... Likoje, au ndo Yale ya masafleti
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 9,361 Reaction score 31,977 Mar 28, 2026 #24 Scott junior said: win-one anakuja hapo Click to expand... aiseee nishaanza kujichekesha baada ya kusikia pesa,, ila vya watu huwa sitamani, wazazi walinifunza vizuri🙂☺️,, hapo nisingegusa kabisa mwanetu😄
Scott junior said: win-one anakuja hapo Click to expand... aiseee nishaanza kujichekesha baada ya kusikia pesa,, ila vya watu huwa sitamani, wazazi walinifunza vizuri🙂☺️,, hapo nisingegusa kabisa mwanetu😄
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 841 Reaction score 818 Mar 28, 2026 #25 Nevergive up said: Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full Click to expand... Bahati haiji mara mbili mkuu chomoka na fuko Moja Hilo chapu
Nevergive up said: Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full Click to expand... Bahati haiji mara mbili mkuu chomoka na fuko Moja Hilo chapu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,928 Mar 28, 2026 #26 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,823 Reaction score 113,405 Mar 31, 2026 #27 Pesa ndogo sana hiyo wanakuwaga na cash nyingi sana
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,629 Reaction score 21,328 Apr 4, 2026 #28 Habari bila picha/video clip sw na takataka. Kazi ni kipimo cha utu