Wakuu hawa wa mikoa mjitathini

Wakuu hawa wa mikoa mjitathini

Sio kwamba soko LA dhahabu ndio lilikuwa kipaumbele wakati wa ujenzi wa Soko Kuu Geita,dhima ilikuwa kusaidia wajasiliamali wadogo wadogo.

Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa kushirikiana na wataalamu washauri ndio waliobuni na kubadilisha sehemu ya Soko maalum kwa uuzaji na ununuzi wa madini/dhahabu.

Cha msingi ni kufanya ubunifu kwa kuwashirikisha wataalamu washauri.
 
Kuna wakuu wa mikoa wawili tu ambao kimsingi naona Rais aliteua watu wanaostahili. Antony Mtaka wa Simiyu na Brigedia Jenerali Marko Gaguti wa Kagera! Wako humble sana na pia wanatumia muda wao mwingi kutatua changamoto zinazokabili maeneo yao! Waliobakia, wengi wao ni macomedians na wauza sura tu kwenye tv na redio stations. Kale kajamaa ka Mbeya kanawaza "kudinya" tu na ubabe mwingii!
 
YAANI NAWAAMBIA KAMA MIMI NIKIWA RAIS WA HII NCHI MAMBO ALIYOFANYA GADAF KWA WALIBYA ,WATU KULIPWA MSHAHARA KWA JOBLESS KILA MWEZI INAWEZEKANA HAPA TANZANIA
MFANO TU KUNA MADINI YANAYOPIGANIWA KULE CONGO LAKINI TANZANIA YAPO NA HAYAJAANZA KUCHIMBWA..
 
Kwa kuwa kicha cha mada ni wakuu wa mikoa basi najiuliza tu kama Kahama, Musoma, Handeni ni mikoa??
Hata hivyo hoja yako ni nzuri.
 
Asilimia 80 ya eneo letu la Kahama ni madini tupu, maendeleo tuliyo nayo hayapaswi kua ya aina hii tulitakiwa kua mbali sana sana.
 
Mama mgwira Hana maneno kabisa. Nadhani ndo mkuu wa mkoa kipenzi wa wananchi kuliko yeyote aliyeeahi kutawala K'njaro. Akifatiwa na mzee sarungi.
 
Hakuna mkoa wa Songea.Songea+Tunduru = Ruvuma.Ni mkoa wa Ruvuma Sasa sijui mnafanya makusudi au Watanzania hatujui mikoa yetu.
 
Back
Top Bottom