Kuna program ninayo inayoweza kuendesha java applications kwenye computer lakini nikiExit application program nayo inaExit naomba mwenye kujua program nzuri
Hiyo nayo niko nayo shida yake screen resolution yake ni ndogo mno K-emulator ni nzuri tatizo lake ni hilo nililotaja hapo juu na pia hairusu application kuAccess harddrive au folders za pc kwa hiyo hata kudownload file ni issue
mimi natumia zote hizo kEmulator na Microemulator naona ni nzuri tuu hasa microemulator kwani inanipa urahisi wa kutest Apps zangu za Java kabla sijatest kwenye mobile device.