Wakuu hali ni mbaya sana nisaidieni tafadhali.

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Mke wangu anaitwa Yusrat Abdulkarim Hussein ni mzaliwa wa Singida ana miaka 30 kwa hapa Dar tulikuwa tunaishi Tabata.

Siku ya tarehe 04-03-2020 alinitumia sms fupi kuwa amelazimishwa kwenda Karantini hivyo hatorudi nyumbani. Toka siku hiyo kwenye simu hapatikani na hakuna ndugu yoyote anayejua alipo.

Nimetoa taarifa kwenye vyombo vya dola bado kimya.

Wakuu msaada pliz msinikashifu nina hali mbaya Sana.
 
RB unayo hapo tuione? Ni ya kituo gani? Mpelelezi ni nani?
Mke wangu anaitwa Yusrat Abdulkarim Hussein ni mzaliwa wa Singida ana miaka 30 kwa hapa Dar tulikuwa tunaishi Tabata.

Siku ya tarehe 04-03-2020 alinitumia sms fupi kuwa amelazimishwa kwenda Karantini hivyo hatorudi nyumbani. Toka siku hiyo kwenye simu hapatikani na hakuna ndugu yoyote anayejua alipo.

Nimetoa taarifa kwenye vyombo vya dola bado kimya.

Wakuu msaada pliz msinikashifu nina hali mbaya Sana.

Jr
 
Tangu 4-3-2020 hadi leo 1-4-2020 ni siku 28. Quarantine ya corona ni siku 14. Usiofu inaonekana jamaa anajua kumquarantine vizuri!
 
Tafuta na wewe wa kwenda nae quarantine maana wabongo tumeigeuza quarantine kuwa honeymoon
 
Back
Top Bottom