Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
- Thread starter
- #21
Sasa itakumalizaje kama huumwi tumbo?.hakuna kuumwa tumbo kiungulia
kwangu ni kiunguklia,kichefuchefu lkn hakuna kutapika,kizunguzungu kikali mda mwengine najiona km naanguka,uchomvi hata km sijafanya kazi siumwi tumbo kabisaSasa itakumalizaje kama huumwi tumbo?.