Wakuu h-pylori itanimaliza

Wakuu h-pylori itanimaliza

Pambana na daktari mmoja,usihame. Pia fuata masharti ya kula unayopewa, hata H Pylori ukimuua bado itahitaji muda tumbo kupona yale matatizo uliyoletewa na H Pylori. Sio una shida halafu unakunywa chai saa nne na unabugia kila kitu kama mtu ambaye tumbo lake halina shida.
abugie nini na asibugie nini
 
Nimesoma Uzi wako ulopita, itoshe kusema, Una tatizo upande wa Moyo ( Myocardial Infarction).

Kacheki kesho, Utaleta Mrejesho !!.
 
Mm ECG nishapima ikawa normal mkuu moyo na kichefchefu vinahusiana vp?
Myocardial Infarction hasa ambayo ni Inferior Huwa Ina trigger Vagus Nerve ( Mshipa fahamu unaoongoza Mfumo wa chakula ) kupelkea Mgonjwa ahisi Kichefuchefu, Kutapika.

Lkn pia Moyo na Mfumo wa chakula hutumia Njia Moja ya Mawasiliano ( ANS), halisi hi inafanya Wagonjwa wéngi wenye M.I kua na dalili za matumbo yaan kichefuchefu, kutapika
 
Madonda ya tumbo hayasababishi Kuchoka, Wala kizunguzungu, Wala kuhisi maumivu upande wa kushoto wa kifuani, Wala kichwa kuuma
 
Myocardial Infarction hasa ambayo ni Inferior Huwa Ina trigger Vagus Nerve ( Mshipa fahamu unaoongoza Mfumo wa chakula ) kupelkea Mgonjwa ahisi Kichefuchefu, Kutapika.

Lkn pia Moyo na Mfumo wa chakula hutumia Njia Moja ya Mawasiliano ( ANS), halisi hi inafanya Wagonjwa wéngi wenye M.I kua na dalili za matumbo yaan kichefuchefu, kutapika
Nami napata kuchefuchefu ingawa sina hayo mengine aliyo sema. Vipi naweza nikawa nina tatizo la moyo kama ulivo sema?
 
Kuna mti shamba nilipewa na mtu Moja mbeya nilimpelekea mzig kitambo nikapona kabisa,nikirudi jioni nichki simu za zamani nikiziona namba zake ntakutumia
 
Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
Kama shida ni vidonda vya tumbo nitafute
 
Back
Top Bottom