Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
Sawa mm ananipa shida sanaHuyo mdudu kwa sasa anasumbua na kuna daktari aliwahi kunambia kuna baadhi ya watu hata wafanyeje H Pylori haondoki kwahiyo wanaangalia kama hawakupi shida basi wanakwambia usihangaike . Ila komaa na daktari mmoja ili dozi ikisumbua yeye ajue kipi cha kufanya. Ukihama hama madaktari utakuwa kila siku unaanza upya
Ok mkuu nitajaribu iyo dozi ya piliKama pylory kit umekunywa dozi mbili ,, jaribu doze ya metro +Amoxilen +Relaxer siku 14
Baada ya hapo pima tena.
Kama vipo itabidi uandikiwe dozi nyingine.
ShukranPole sana classmate
Wasipotoka watakumaliza asee hao hawafai hata kidogo wanasababisha kansa na kuharibu tumboHuyo mdudu kwa sasa anasumbua na kuna daktari aliwahi kunambia kuna baadhi ya watu hata wafanyeje H Pylori haondoki kwahiyo wanaangalia kama hawakupi shida basi wanakwambia usihangaike . Ila komaa na daktari mmoja ili dozi ikisumbua yeye ajue kipi cha kufanya. Ukihama hama madaktari utakuwa kila siku unaanza upya
Najitahidi kupambana naoWasipotoka watakumaliza asee hao hawafai hata kidogo wanasababisha kansa na kuharibu tumbo
Pambana na daktari mmoja,usihame. Pia fuata masharti ya kula unayopewa, hata H Pylori ukimuua bado itahitaji muda tumbo kupona yale matatizo uliyoletewa na H Pylori. Sio una shida halafu unakunywa chai saa nne na unabugia kila kitu kama mtu ambaye tumbo lake halina shida.Sawa mm ananipa shida sana
Sasa itakumalizaje kama huumwi tumbo?.Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
Anaambukizwa kwa kula chakula na kutumia maji yaliyo na huyo mdudu na watoto wadogo ndo wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa maana watoto kula bila kunawa kawaida.Halafu watu wengi hawajui anaambukizwa kupitia vyombo na mwenye ugonjwa pamoja na Ngono ya mdomo
Nilichoeleza mimi ndio sahihiAnaambukizwa kwa kula chakula na kutumia maji yaliyo na huyo mdudu na watoto wadogo ndo wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa maana watoto kula bila kunawa kawaida.
Meza vitunguu thomu punje 3 kila sikuHusika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu thomu zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
H.pylori si ni bacteria anaeweza kusababisha GASTRITIS au PEPTIC ULCERS sindio ?Halafu watu wengi hawajui anaambukizwa kupitia vyombo na mwenye ugonjwa pamoja na Ngono ya mdomo
Kwa muda gan ssMeza vitunguu thomu punje 3 kila siku
Possibly huna H. Pylori hata kidogo. Nasema kwa kujiamini kabisa. Bongo asilimia kubwa ya wanaoambiwa wanayo huwa hawana. Tena angalia sana hayo madawa unayokunywa yasije kuleta madhara. Dunia imevaa gunia, kuna hospital hawajali uhai wako linapokuja swala la pesa. Utabambikiwa ugonjwa wowote ili tu wapige fedha. Kama una connection na hospital kama Muhimbili au hospital kubwa za serikali nenda ukapime huko. Na ujuwe: ukipima baada ya kumaliza dose kabla hujakaa kwa muda mrefu, inaweza kuonyesha unayo kumbe huna.Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee