Wakutwa na CHUCHU za TEMBO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Polisi mkoani shinyanga inawashikilia majangili kwa kuwakuta na CHUCHU 2 ZA TEMBO,vipande vya mikia ya tembo,maskio ya tembo,pamoja na risasi kadhaa........
Sosi:mwananchi

NATAMAN NA WALE WALOTOROSHA TWIGA NAO WAKAMATWE
 
sasa chuchu za tembo kwa ajili ya kazi gani?
 
amesema ana bomu la kulilipua during kikao cha BAJETI,,,,any way tunasubiri hiko kikao,,,,next week tujue atalipua bom,au atajilipua...?????

Aache kutapatapa huyu Maige kwani alizaliwa kuwa waziri daima? kama alikuwa anapenda ukubwa huo alitakiwa kuwajibika pasipo kuogopa kwa hiyo sasa woga umekwisha?
 
amesema ana bomu la kulilipua during kikao cha BAJETI,,,,any way tunasubiri hiko kikao,,,,next week tujue atalipua bom,au atajilipua...?????
angenyamaza tu muda ukifika alipue au alipue muda huu lakini kwa namna hii wanaweza kumtafuta (hao wanaohisi atawalipua) wamlipue yeye kabla...
 
angenyamaza tu muda ukifika alipue au alipue muda huu lakini kwa namna hii wanaweza kumtafuta (hao wanaohisi atawalipua) wamlipue yeye kabla...
Alipue bomu lipi naye ndo alikuwa na wasuport wasukuma wenzake kuwa majangili,
Naye alikuwa wizarani kibiashara zaidi badala ya kutekekeleza majukumu,aliuawawa faru wa kwanza akiwa wizarani,hao wawili nao wameuliwa tena akiwa waziri kamili na taarifa hata wirani hazikufika,ni lipi analotaka kutueleleza kama watanzania,kuna mahaali naye amehifadhi nyara,kama hajui hii ndo bongo,tena aache kelele.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom