strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Kama mm ndio polis ningechukua sub yangu nachukua magazin 5 zikiwa full halafu na take cover. Magazine ya kwanza naweka rapid nawapelekea moto hatar
Asipokufa hapa hafi tena...!!!
Tumia akili vipi polisi anaenda kwenye lindo bila silahaHawa jamaa bila sime panga hakuna lolote hasira za kichuri hizo
sijakataa ila hujanielewa mkuu sina nia na ubaya huwezi enda kupigana ukaacha silahaWambura marwa wewe ndo inatakiwa utumie akili badala ya kutumia nyayo kufikiri mimi nimeimaanisha wakurya bila silaha si lolote na sijasema polisi kwenda lindo bila silaha
Unaweza ukawashona lakn bado wakaw wanakuja tuYa pili mpaka tano unafanyia nini!??
Utakuwa hujapitia mafunzo yoyote yale ya jeshi huwez kuua hao raia wote wewe ni nangaKama mm ndio polis ningechukua sub yangu nachukua magazin 5 zikiwa full halafu na take cover. Magazine ya kwanza naweka rapid nawapelekea moto hatar
Anaenda kufanyia ujambazi na ujangiliYa pili mpaka tano unafanyia nini!??
denja very tru