Wakurya wanamsaka Polisi.

Wakurya wanamsaka Polisi.

Utakuwa hujapitia mafunzo yoyote yale ya jeshi huwez kuua hao raia wote wewe ni nanga
Umewahi kuiona hasira ya wananchi? Au unaongea tu.
Unaona watu wana mapanga na mishale ww unasema mafunzo!!?

Sasa ww jifanye una mafunzo uone watakunyoosha
 
Acha upuuzi askar anafunzwa hadi kutoroka katika hali kama hizo narudia tena kichwa kibovu ndio unaoweza kuua hao raia wote sasa ujiulize kwanini hapo askari wamekimbia???au wao hawana hizo silaha??
 
Ww ndio huna akili, rejea mgomo wa wa fanya kazi migodin south
 
Acha upuuzi askar anafunzwa hadi kutoroka katika hali kama hizo narudia tena kichwa kibovu ndio unaoweza kuua hao raia wote sasa ujiulize kwanini hapo askari wamekimbia???au wao hawana hizo silaha??
Mkuu strong ruler ameleta picha kama utani tu kwamba wakurya wanamsaka polisi ila ukweli ni kwamba kuna watuhumiwa wa mauaji waliokuwa wameshikiliwa kituoni hapo, sasa wakurya hao walivamia kituo hicho ili wawaue hao watu kwa madai kwamba polisi watawaachia watu hao kwa sababu wamekuwa wakiwafikisha watu polisi ila wamekuwa wakiachiwa na kurudi mtaani.
 
Back
Top Bottom