WAKURYA vs WAZANAKI ni tofauti yao?

The Intelligent

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
2,465
1,500
Wakuu nimekuwa nikitaka kujua tofauti za hayo makabila zilivyo, kwani nimeona wazanaki wengi wakiitwa na wakijitambulisha kama ni wakurya, lakini ukiangalia kikabila vizuri utaona kuwa zanaki ni kabila kamili.
Nimejaribu kuwauliza wenyewe(wakurya&wazanaki) wao wanasema kuwa wazanaki ni wakurya, pia nimeona wanaongea lugha inayofanana ila hadi sasa sijajua ukweli ulivyo.
wengne wanasema zanaki ni clan ya kurya hapa inanichanganya.
Mwenye kuelewa ukweli kati ya wakurya na wazanaki naomba atudadavulie.
 
Muwazi

JF-Expert Member
May 16, 2014
355
225

Mkuu nimepeleleza kwa mkurya mmoja amedai kuwa Wazanaki, Wajita, Wakabwa Waikizu na Wakiroba eti ni wakurya Lakini mkurya mwingine amesema si kweli kwani wao ni kabila linalojitegemea. Kwa kauli hizo mbili labda wakurya na wazanaki wafunguke humu watueleze ukweli ulivyo.
 
Hilo la wajita hapana! labda wangoreme, kwani majina ya wazanaki,wakurya na wangoreme yanafanana, mf. jina la mwita au wambura linatumiwa na makabila hayo.
 
Boko halal

Senior Member
May 14, 2014
160
225
Wote ni Wakurya ila wanaongea Lahaja(dialect) tofauti kwa sababu wanashare tamaduni zinazofanana ikiwemo majina.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,408
2,000
Wazanaki ni tofauti kabisa na wakurya!!tunashare dialect tu kama zilivyo lugha nyingine za kibantu !!
 
Elly Andrew

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
379
250
Wakuu nimekuwa nikitaka kujua tofauti za hayo makabila zilivyo, kwani nimeona wazanaki wengi wakiitwa na wakijitambulisha kama ni wakurya, lakini ukiangalia kikabila vizuri utaona kuwa zanaki ni kabila kamili.
Nimejaribu kuwauliza wenyewe(wakurya&wazanaki) wao wanasema kuwa wazanaki ni wakurya, pia nimeona wanaongea lugha inayofanana ila hadi sasa sijajua ukweli ulivyo.
wengne wanasema zanaki ni clan ya kurya hapa inanichanganya.
Mwenye kuelewa ukweli kati ya wakurya na wazanaki naomba atudadavulie.

wakurya ni tofaut na wazanaki kwa kias kikubwa tamaduni zao,hata chmbuko lao ni tofati tabia na hulka zao ni tofauti na za wakurya na wajita kwa kias flan.kufanana ktk mengne ni ukaribu wa ujiran umeleta kuathiriana ktk matamsh,majina nk, mf wazanaki inasemekana chmbuko lao ni kwa Warundi tena wanaskilzana kwa kias kikubwa. mzanaki imetokana na maana "umekuja na nini"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom