Wakunitengeneza wikend kwa malipo

Wakunitengeneza wikend kwa malipo

Dada Mamushka unaishi Mitaa gani nimtume Boyfriend wangu angalau tupate hela za Kuvisit Kawe club kwa samaki wa kuchoma

ina maana hizo cheni za kiunoni utabana nazo home alone?????????

Dada Mamushka unaishi Mitaa gani nimtume Boyfriend wangu angalau tupate hela za Kuvisit Kawe club kwa samaki wa kuchoma

Unajitafutia maumivu........huko Kawe club ataenda na mteja wake na kukusahau wewe...

kwa nini awe kijana wa kiume??? mie nafanya kazi saloon ninaweza kutengeneza kucha,nipe deal basi lol

jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend

muda anzia saa 2 usiku

malipo mazuri

usihofu mamu, ni-pm, nitakusaidia as u wish it 2be.!

Ukibakwa usije kuomba ushauri hapa jamvini

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 18th July 2011
Posts : 670
Rep Power : 22

[h=2]
icon1.png
Re: Wakunitengeneza wikend kwa malipo[/h]
Hutaki tena wajane?

mamushkar likes this.
Kwenye red MAANA YAKE NINI ?

Back
Top Bottom