Wakunitengeneza wikend kwa malipo

jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend
muda anzia saa 2 usiku
malipo mazuri
nanyonyoa na vinyweleo vyote bila maumivu:msela:...natangaza nia..
 
Dada Mamushka unaishi Mitaa gani nimtume Boyfriend wangu angalau tupate hela za Kuvisit Kawe club kwa samaki wa kuchoma
 
hawa vijana wanatucharge ghali sana aisee kumbe wewe unatengeneza buree? Mimi niagizie uliko nikufate maana nimefulia mbaya

weee, taratibu, kucha zako na miguu yako nimezoea kuiosha mimi, so subiri acha kuitaita watu.
 
<br />
<br />
Haaahaaa kwiikwiikwiii umejuaje ndugu? Wakati nipo darasa la sita demu akiniangalia tu nilikuwa nahc ananipenda..
 
m nataka nfanye kaz zote lkn malipo sio issue sna coz tutalipana tu na mambo mengine ila usiwe umeolewa manake waweza bananishwa bure
 
mamushkar, bujibuji alikuwa natafuta kazi kama hiyo, jaribu ku-pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…