DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 879
- 1,250
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu
Habari za asubuhi wakuu..
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary ...
Anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize... Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe..
Yale ndio yaliitwa True Love sasa..[/QUOTEwacha bnaaa
Vip sasahivi unaweza kutongoza?Nilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu
lolTicha wangu wa Biology na Chemistry popote mlipo nawakumbukaaa...
ok poa mkali wa mathnatumaini na wewe unanikumbuka kwa ule ukali wangu wa maths)
Wala hujamis bal ulikuwa unajua thaman ya mwil wako ,maneno ya humu usijishushie hadh bal mshukuru mungu wakoSikupitia haya hadi namaliza 6. Wenda nilimisi vitu vizuri.
Ohoooo!!!Hao walimu ndio walikuwa wana kukwichikwichi?Ticha wangu wa Biology na Chemistry popote mlipo nawakumbukaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwaga domo dhege...sikuwa na ki date...nilipendwa na wadada kama sita hivi nikajifanya mgumuuu hatarii...shenzy zangu
Asante J,Wachumba zangu G na M popote mlipo mnakumbukwa sana na J
M sikusahau kwa zile chips kila break time(mapumziko) [emoji23][emoji23]na mapindi yako yale ya Geography na History
G sikusahau kwa ile biology uliyokuwa unanifundisha(natumaini na wewe unanikumbuka kwa ule ukali wangu wa maths)