Wakulima wa miwa walizwa

Wakulima wa miwa walizwa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,316
Wakulima mbali mbali mkoani morogoro wamei ngizwa chaka mara baada ya kuombwa kulima miwa kwa wingi kwa ahadi ya kujengewa kiwanda cha sukari sehemu ya mbigiri mkoani morogoro.
Lakini hadi leo hii ujenzi wa kiwanda hicho umeota mbawa na badala yake wakulima wamebakia na miwa yao hawana pa kuiuza
FB_IMG_1553507499439.jpeg


In God we trust
 
Wakulima mbali mbali mkoani morogoro wamei ngizwa chaka mara baada ya kuombwa kulima miwa kwa wingi kwa ahadi ya kujengewa kiwanda cha sukari sehemu ya mbigiri mkoani morogoro.
Lakini hadi leo hii ujenzi wa kiwanda hicho umeota mbawa na badala yake wakulima wamebakia na miwa yao hawana pa kuiuza View attachment 1053615

In God we trust
Nakulilia Tanzania
 
Ukifuata maneno ya Jiwe na wafuasi wake lazima cha moto ukipate! Walidhani kiwanda ni cha kutamkwa tu kinakuwepo!
 
Waanze kuitafuna. Inasafisha Figo na kuongeza nguvu mwilini (Mhe. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Bi. Sijui Nani akisema watu wale mbaazi maana Zina virutubisho vya kutosha)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanda cha sukari ni moja ya complex industry kuanzia production hadi installation...hawa watu walio kwenye maofisi wanawaza rahisi sana habari za viwanda. Wanazani ni ndege ya kuagiza na ikaja baada ya miezi 6
 
Wakulima mbali mbali mkoani morogoro wamei ngizwa chaka mara baada ya kuombwa kulima miwa kwa wingi kwa ahadi ya kujengewa kiwanda cha sukari sehemu ya mbigiri mkoani morogoro.
Lakini hadi leo hii ujenzi wa kiwanda hicho umeota mbawa na badala yake wakulima wamebakia na miwa yao hawana pa kuiuza View attachment 1053615

In God we trust
In fact nchi hi lazima tujipange,huwa naangalia mawe ya msingi yalowekwa Kila Kona na miradi inaota mbawa.
 
Dar juice ya miwa ni fursa kubwa sana na inanyweka Sana hasa kipindi hiki cha joto walanguzi waende huko
 
Back
Top Bottom