Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Nimesikia leo Rais akisema Nyama ya Tausi ni Tamu sana kuzidi ya kuku. Na ndani ya miaka 5 tausi wa ikulu wameweka kuongezeka mara nne kutoka 500+ had 2000+. Pia wanataga mayai mengi sana.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana kwa wakulima na wafugaji hasa vijana wanaotafta ajira katika secta ya ufugaji.
Kama tausi mmoja anataga mayai zaidi ya 40 maana yake kunaweza kuwa na fursa kubwa sana katika uuzaji wa mayai ya tausi. Pia kwakuwa nyama ya Tausi inaonesha kuwa na value kubwa sana, hii inaweza kuwa fursa kubwa sana kwa wafugaji. Nyama ya tausi inaweza kuuzwa katika hoteli kubwa hasa za kitalii na kuvutia watalii pia hata soko la nje linawez ongezeka endapo tausi watafugwa kwa wingi na kuanza kusafirisha nyama yake.
Mhe Rais hii ni fursa kubwa sana tumeikalia tu apo ikulu. Kupitia wizara ya Kilimo na ufugaji pamoja na maliasili, wangeangalia ni utaratibu gani unaweza fanyika ili ufugaji wa tausi uhalalishwe na mbegu/ vifaranga vipatikane kwa watakaohitaji kufuga tausi.
Ufugaji wa Tausi Pakistani.