wakubwa

wakubwa

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
8,424
Reaction score
16,204
naomba nielekezwe namna ya kuinstall google play simu yenyewe ni nokia asha 311.
 
naomba nielekezwe namna ya kuinstall google play simu yenyewe ni nokia asha 311.

Kwa uelewa wangu ni kuwa Play Store ni pre-installed App(App ambayo inakuja ikiwa ipo tayari kwenye simu hususani zinazotumia OS ya Android), huwezi install kama Apps nyingine.

Kama sijakosea Nokia wana OVI Store, subiri wajuzi zaidi wa haya mambo wataleta maelezo yenye ufasaha zaidi.
 
Majibu ya mkuu Kada, yote yapo sahihi na ndivyo ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Majibu ya mkuu Kada, yote yapo sahihi na ndivyo ilivyo.

Acha kudesa ww mtoto wa shule toa nondo zako kwanza ili nianzie pale ulipofeli wewe kumuelewesha mleta mada!
 
Last edited by a moderator:
naomba nielekezwe namna ya kuinstall google play simu yenyewe ni nokia asha 311.

.
Kwanza kabisa google play ni store ya apps za android ! Haijawa ki application pengine kama ulivyodhani wewe! Na pia huwa ni Pre installed ktk simu zote za android
Lakini siyo android zote! Zina google play
Nnaposema sio android zote! Hii imetokea juzi juzi baada ya kuletwa kwa Nokia X series ambazo ni android zilizotengenezewa store yake ya apps tofauti na Google play!

Na apps zilizo kule zina extension ya .apk na simu yako wewe hiyo asha 311 ni java! Debbuger! Ina run .Jad or .jar
.
Hivyo na yenyewe pia inayo Ovi store ambayo ni store ya apps za Nokia kama ilivyo Google play ni store ya android!
.
 
Back
Top Bottom