Jt jr
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 181
- 57
mwanamke asifiwi kupiga pasi
mh! kweli maana hata madobi wapo!
mwanamke asifiwi kupiga pasi
mh! kweli maana hata madobi wapo!
Kwani hapa wapi..
Nimepotea njia ama?
aibuuuuuuuuu huyo dada
Hamna Cha Aibu Kwenye Utamu Shemu Hapo Wamepandishana Mizuka
Hapo Ni Sebene Lenye Mizuka Yakufa Mtu
mbele za watu?
Binadamu akifikia hatua hii..walahi kuna uzi umekatija upstairs
kukata kiu
Kiu si inakatwa kwa kinywaji? Hapo naona watu kama wamebebana hivi!
hapo si bar au auoni vizuri