Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Kabisa kaka hujakosea wanawake sijaona nyuzi za hiv kusema ukweli tumewazid vifua na huenda tunakutana na mambo matamu au mabaya kuliko nyie ila ndo ivo
Kama mnaguswa guswa mtaongelea wapi
 
Kweli kabisa ngoja tuone mwisho na pia hawana majukumu kunamtu kalala kichwa kinauma anawaza watoto walipiwe ada atapatawapi muda wa kuandika nilishika paja jeupe sijui karoti😀
Sasa nije kuanika uchi wa mpenzi wangu humu?
Unajua nikikukula uchi wako inakuwa siri yangu
 
Imagine mtu kama huyu anapagawa na penzi la siku moja anamwambia binti nikuoe. Unategemea nini baada ya miezi 6 ya ndoa! Atashindwa kuunga mkono kampeni za kataa ndoa?
Warembo wana nguvu kubwa, ndani ya kumi na nane unaweza kuonga gari ya 40m+
 
Kweli kabisa ngoja tuone mwisho na pia hawana majukumu kunamtu kalala kichwa kinauma anawaza watoto walipiwe ada atapatawapi muda wa kuandika nilishika paja jeupe sijui karoti😀
Maisha haya hayahitaji kila siku kuwaza matofari, kuna muda unatakiwa uishi pia kutokana na kusudi la uumbwaji wako.
 

 
website gani niingie na mimi nichague nione kama kweli wakubwa wanafaidi
 
[emoji2961][emoji1785][emoji1785][emoji1785]
 
Warembo wana nguvu kubwa, ndani ya kumi na nane unaweza kuonga gari ya 40m+
Kama ambavyo wewe unaweza ku afford hiyo 120k kwa papuchi ya malaya hata huyo anayetoa gari ya 40M anaweza kuzi afford kama hizo mara 10 yake.

Huwezi kuwa na akili timamu una Mil 50-100 halafu unaenda kuhonga malaya gari ya mil 40 lazima kuna namna ubongo wako ulichanganyika na kinyesi
 
Tembelea ule uzi wa warembo wakali, utajifunza kitu; utahisi labda hawaendi toilet
Hao warembo nakutana nao kila siku na nishakua nao kwenye mahusiano hawana jipya.

Next time ukipata pesa nenda pale JNIA ukajionee uumbaji wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…