Wakubwa tu

Ngoja nisikilize hili songi kwanza!

 
Last edited by a moderator:
Na wewe kwa mada yako hiyo umejiona mkubwa.....! haya wasubiri wenzio wakina Danija

yani...uetumia busara safi..ila mwache utajuaje hawa ndo wale teamSHOBO...LOL
 
kweli msandawe,mimi nilikimbia siku nyingi lakini nilikuja kukaa na kufikiri kukimbia tatizo sio kulitatua sasa nimerudi rasmi kuja kunyoosha mambo na ninaomba wale ma GT wa ukweli waje tulijenge.
Join Date : 25th March 2014
Posts : 21
Rep Power : 305
Likes Received10
Likes Given10
 
Ili timu yoyote iwe vizuri lazima kuwe na combination ili kupata challenge za kujenga ila mleta mada umenitia wasiwasi je na ww kweli ni mkubwa maana nilidhani utaleta mada tofauti,i don't see the difference between your topic na hizo unazosema ni za wadogo
 

Hata mwanamke anapaswa kumuandaa Mwanaume wake, Nimependa hapo kwenye usafi wa mawigi ni kweli mda mwingine yanaletaga shida si tu kwenye tendo la ndoa, Bali hata ukikaa tu karibu na mdada ambaye anatatizo hilo ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…