wiseshadrack
Member
- Sep 4, 2018
- 8
- 2
tatizo kozi zipo zilezile bado atujui koz zp zimejaa yan system haijawa updatedUkiingia kwenye account ya Sua wanasema selection process inaendelea tafadhari subili baadae nikawatumia email kuuliza wakasema hiyo message system ikifunguliwa itaondoka hivyo aombe tena